Halmashauri Kuu ndiyo yenye uamuzi wa kuning'oa madarakani – Wambura
l Asema nayo lazima iwe na nguvu za hoja
l
Madadi avuliwa Ukocha Mkuu Taifa
Stars
Na Lilian Timbuka
Katibu Mkuu wa Chama cha Soka nchini (FAT) Michael Wambura amesema kuwa Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya FAT ndio
wenye uamuzi na uwezo wa
kumng’oa madarakani na si vinginevyo.
Wambura aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Gazeti
hili katika ofisi za FAT zilizoko
Uwanja wa Karume jijini
Kauli hiyo imekuja kufuatia tuhuma kutoka kwa
baadhi ya mashabiki wa soka
nchini kwamba Wambura ni mmoja wapo
wa viongozi wanaochangia kwa kiasi kikubwa
kufanya vibaya kwa timu za
Taifa katika michezo yake ya
Kimataifa na anastahili kuondolewa madarakani.
Akisisitiza kauli yake, Wambura alisema
kuwa hata hao Wajumbe wa Halmashauri Kuu wanaweza kumtoa
madarakani kutokana na nguvu zao
za hoja na
si vinginevyo.
“Hata hao wajumbe lazima
hoja zao ziwe na nguvu
na wala si
kwa kelele za mashabiki wa
mchezo huo ambao hawajui walisemalo,"
alisema.
Aliongeza, “Kwa kweli sijajua ni kwa
nini watu wanazidi kunisakama na kunitupia lawama
mimi za kutofanya
vizuri kwa timu zetu za
Taifa, mimi kama Wambura na
mimi kama Katibu Mkuu wa
FAT huwa nafanya yale ambayo yako
chini ya uwezo wangu”.
Alisema mambo yaliyojuu ya uwezo wake kikazi, FAT huomba msaada serikalini
kwa msaada
zaidi na ikishindika matokeo yake ndipo yanapo
onekana mabaya.
Hata hivyo, alisema Kamati ya Utendaji
ya FAT, inatarajia kukutana hivi karibuni
ili kujadili
na kutathmini mwenendo mzima wa timu za
Taifa kwa kufanya vibaya katika michezo ya kimataifa.
Pia, alisema Mkutano Mkuu wa
FAT unatarajia kufanyika mjini
Wakati huo huo; Chama cha Soka nchini (FAT), kimemvua madaraka ya Ukocha Mkuu,
Salumu Madadi na kumteua
Kocha Mshindo Msola kushika nafasi
hiyo kwa ajili ya kuinoa
timu ya Taifa
inayotarajia kushiriki katika michuano ya kuwania Kombe
la Castle, michuano inayotarajiwa
kuanza mapema mwa wiki ijayo.
Akitoa taarifa hizo kwa waandishi
wa habari mjini
MICHUANO YA
NETIBOLI KOMBE LA MATAIFA AFRIKA
Taifa
Na Lilian Timbuka
TIMU
ya Taifa ya Netibali nchini
(Taifa
Akizungumza na mwandishi
wa habari hizi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,Mweka hazina wa chama
cha netiboli nchini
(CHANETA),Anna Kibira alisema
kuwa pesa hiyo ni kwaajili
ya maandalizi ya kambi pamoja
na gharama ya kuwapeleka wachezaji nchini Ghana ambapo michuano hiyo inatarajiwa
kufanyika kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 4 mwaka huu.
Kibira alitoa wito
kwa Makampuni
na Mashirika mbalimbali kujitokeza kuchangia timu hiyo ya Taifa
Queens.
Awali michuano hiyo ilikuwa ifanyike
kuanzia Oktoba 31 hadi Novemba 9 mwaka huu lakini
baadaye imesogezwa mbele kufuati ombi
kutoka kwa nchi waandaji wa
michuano hiyo ambayo ni Ghana.
Hata hivyo Kibira
alisema kuwa sababu za
Awali CHANETA ilipopokea taarifa za kuahirisha
michuano hiyo,timu
yake ilisitisha mnazoezi na sasa
mazoezi hayo yamenza tena baada
ya kupata tarehe rasmi.
“Sasa
kufuatia kupatikana kwa tarehe kamili
ya kuanza kwa mashindano hayo,timu imeanza mazoezi tena katika
uwanja wa ndani wa taifa
tayari kwa mashindano na kwa
upande wa wachezaji wanaotokea Zanzibar wao watafanyia mazoezi kwenye uwanja wa Amani ulioko huko huko
Zanzibar,baada ya ya hapo hela
ikipatikana,wachezaji wote wataunga tayari kwa safari ya kwenda
Ghana”alisema Kibira.
TIMU
ya Taifa ya Mpira wa
Wavu kwa upande wa wanaume nchini
Brazil, imeibuka mshindi baada ya kuibamiza
timu ya Taifa
ya Urusi katika Michuano ya kuwania Kombe
la Dunia, mchezo uliofanyika mjini
Katika mchezo huo
ambao ulikuwa ni fainali,
Hata
hivyo,
Urusi katika seti ya nne
iliigeuzia kibai
Hadi mwisho wa
mchezo huo ,matokeo yalikuwa
ni 3-2,hivyo
Nafasi ya tatu
ilichukuliwa na
timu ya Taifa
ya Ufaransa baada ya kuichabanga
Wakati nafasi ya saba na nane
zilienda kwa timu ya Ugiriki
na Ureno,wawakilishi
wa Afrika timu za Misri
na
Mashabiki wataka mchezo wa soka
Na Brown Sunza
BAADA ya timu Taifa ya mpira
wa miguu nchini (Taifa Stars) kubamizwa na timu
ya
Mashabiki hao walitoa pendekezo
Adam Mambo ambaye ni mkazi
wa Kigamboni jijini
Alisema pamoja na watu mbalimbali kujitahidi kutoa ushauri kwa viongozi
wa Chama cha Soka nchini (FAT),lakini viongozi
hao wamekuwa wakiupuuza ushauri huo kwa kiasi
kikubwa hivyo kilichobaki ni kupumzika.
Naye Edward Mwita mkazi wa Magomeni jijini
“Hata kuku unapomfunga kila siku kamba kumzuia
kutorokea kwa majirani,ukimfungulia na ukaona anaendelea
kukimbilia huko,dawa yake ni kumchinja.
Hivyo hivyo hata
Katika kinyang’anyiro cha Kombe
la Mataifa Afrika,Taifa Stars imefanikiwa kucheza mechi mbili ambapo
katika mechi ya kwanza ilichabangwa na