Maaskofu
JARIBIO
la Bunge la
Juma lililopita baraza la
maaskofu lilichapisha tamko lililoelekezwa kwa watunga sheria wa nchi hiyo,
ambao juma moja kabla walikuwa wamepitisha kifungu ambacho kingerekebisha
Katiba.
Waraka huo uliopitishwa na
watunga sheria hao unatamka: “Adhabu ya kifo ni marufuku. Utoaji mimba umepigwa
marufuku isipokuwa inaweza kuruhusiwa kisheria.”
Habari zaidi zinasema ni sentensi hiyo ya mwisho
iliyoamsha “malalamiko hayo makubwa” ya Maaskofu Wakatoliki.
“Kuhusishwa kwa uwezekano
mbadala wa kisheria juu ya utoaji mimba katika Katiba, ni shambulizi dhidi ya
uhai-haki ya kwanza ya msingi-kuwaachwa watoto wa
“Itakuwa ni mara ya kwanza
kwamba inatamkwa eti utoaji mimba unaruhusiwa katika Katiba ya Latin Amerika,”
waliongeza maaskofu hao.
“Suala la utoaji mimba si la
kidini, kijamii au kisiasa pekee: ni tatizo la kibinadamu,” walisema na
kuongeza “tunu ya uhai inapita mtazamo wa kiimani, kwa sababu ni suala la
kibinadamu. Mtu mwenyewe yuko katika hatari kubwa
Barua ya maaskofu hao
iliendelea kueleza sentensi ‘isipokuwa pale inaporuhusiwa kisheria,’ inafungua
uwezekano kwamba siku zijazo uwezekano wa kwamba sheria inaruhusu utaongezeka
na kuuacha utoaji mimba ukiwa umehalalishwa katika ngazi ya kikatiba.”
Maaskofu walionyesha
kuchanganywa katika kifungu kilichopitishwa na wabunge “kwa upande mmoja,
adhabu ya kifo ni marufuku … na kwa upande mwingine, uwezekano wa kisheria
unawekwa wazi kwa kifo cha wasio na utetezi wa wasio na hatia.”
“Sisi, maaskofu
wa
Wanauamsho wa
madhehebu mbalimbali wakutana Roma
VIONGOZI wa Uamsho kutoka madhehebu na jumuiya
mbalimbali za Kikristo barani Ulaya, waliashimisha 30 ya Umoja wao wa
Mashauriano (ECC) kwa kufanya mkutano uliozungumzia mahusiano baina
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na
umoja huo ilisema kwamba baraza la umoja huo pamoja na wageni walitafakari
tukio la Oktoba 9-13 juu ya jinsi wanavyoweza kuitikia wito wa Papa Yohane
Paulo wa Pili “kutweka hadi kilindini.”
Mwanateolojia wa Kikatoliki Padre Peter Hocken
alipitia mikakati iliyopendekezwa, akisisitiza sehemu muungano na tofauti juu
ya mada ya toba wa dhambi za miaka iliyopita.
Mwanateolojia mwingine, Dan Juster, wa kundi
la Masiha wa Kiyahudi, alijadili historia ya kundi la Masiha wa Kiyahudi na
kuwashirikisha wajumbe maarifa mapya juu ya “Kuelekea Mtaguso wa Pili wa
Katika mkutano wa Roma, Mchungaji mmoja wa
Kanisa la Kipentekoste Peter Dippl wa
Mchungaji huyo alirithiwa na mchungaji
mwingine wa Kipentekoste Olaf Franke, pia wa
Papa alaani shambulizi la Bali
BABA Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili, amelaani shambulizi la kigaidi
katika kisiwa cha Bali, Indonesia lililoacha watu 187 wakiwa wamekufa na zaidi
ya 300 wakiwa wamejeruhiwa na kutuma salamu za rambirambi kwa ndugu wa wahanga.
Katika ujumbe wake juu ya shambulizi
Ujumbe huo wa telegram uliotumwa kwa balozi wa
Ujumbe huo wa Papa ulisema kuwa “vitendo
Waziri wa Ulinzi wa
Orodha ya kwanza ya waliokufa na waliojeruhiwa
ilihusisha walau raia wa mataifa 16, wengi wao wakiwa Waustralia, ambapo 13
walidhibitishwa kuwa wamepoteza maisha na 110 wamejeruhiwa.
Naye Askofu Mkuu Francis Carroll, rais wa Baraza la
Maaskofu Katoliki wa
“Ninakaribisha Wakatoliki kuhudhuria katika makanisa
ya maeneo yao na kushiriki katika sala, kuonyesha mshikamano wao na wahanga wa
shambulizi hilo,” alisema Askofu huyo Mkuu wa Canberra na kuongeza
“Ninapendekeza kwamba Jumapili ijayo iwe ni siku ya kitaifa ya sala na
kumbukumbu.”
Aidha alisema “Hakuwezi kuwa na nafasi kwa ajili ya
vurugu kwa jina la dini. Sasa hivi zaidi ya wakati mwingine wowote, wale
wanaomwamini Mungu ni lazima wajenge madaraja ya amani. Wote wanaoamini kwamba
ni watoto wa Mungu lazima wakiri kwamba wale wote wanaowazunguka ni
Aliongeza “Kuna
haki kutetea watu wasio na hatia dhidi ya ugaidi. Haki lazima itumike kwa
kujali mipaka ya kimaadili na kisheria. Vurugu haziwezi kushughulikiwa kwa njia
ya vurugu zaidi. Heshima, maelewano na mazungumzo ili kuandaa njia kwa ajili ya
amani iliyojikita juu ya haki.”
Vyuo vikuu lazima vihifadhi utamaduni wa Kikristo -
Papa
lAzungumzia changamoto za utandawazi
VATICAN CITY
BABA
Mtakatifu, Yohane Paulo wa Pili amesema vyuo vikuu na shule za Kikatoliki
inabidi zikabiliane na changamoto za kulinda utamaduni na utambulisho wa
Kikristo katika zama hizi za utandawazi.
Papa aliyasema hayo alipokutana na maaskofu wa
Chile wakati wa ziara yao huko Roma ifanyikao kila baada ya miaka mitano, 'ad
limina' alisema “katika nyakati za
vitisho vikubwa vinavyoonekana hasa kwa nchi dhaifu kiuchumi, kiufundi na
kiutamaduni.”
Hata hivyo, “utandawazi bado unavyo vitu
ambavyo vinaweza kutoa fursa ya kukuza utamaduni wa Kikristo,” alisema.
Katika mazingira haya, Baba Mtakatifu alisema
“jitihada za watu wa Chile kujiingiza katika jumuiya ya ulimwengu ni lazima
waangalie ili wasipoteze utambulisho wao wa kiutamadumi.”
Alisema kuwa ni lazima waepuke kupunguza kila
kitu na kuwa “mabadilishano ya kiuchumi” na lazima watoe “kila mahali tunu bora
kabisa za ‘alma patria,’ yao ambayo imeungana na mapokeo yao ya Kikatoliki.”
“Hii itatajirisha zaidi sana mazingira ya tamaduni nyingi kwa
njia ya mitazamo ya kuheshimiana na kupalilia mazungumzo ambayo yanalenga
kutafuta ukweli, baada ya kuachana na ubabaishaji na kuhusianisha mambo, ambayo
huendeleza kutojali na kuharibu hali ya amani,” alisisitiza Baba Mtakatifu.
“Shule pamoja na vyuo vikuu vya Kikatoliki,
ambavyo, tumshukuru Mungu ni vingi sana nchini Chile, lazima vichangie kufikia
hili,” alisema.
“Nina hakika kwamba maaskofu wataendelea
kuvipa vyuo hivi umuhimu mkubwa kwa sababu vimelengwa ili kuiongoza jamii ya