KIBWAGIZO

Jana, leo na kesho havikutani.

Umeshindwa jana, jaribu leo. Ukishindwa leo, basi jaribu hiyo kesho; lakini kesho si yako.

Wasalaam

S.M. Ngunga (Baba Bure)

S.L.P. 7472,

Dar es Salaam.